1
Isaya 28:16
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa hiyo hivi ndivyo BWANA Mwenyezi asemavyo: “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, jiwe lililojaribiwa, jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu.
Compare
Explore Isaya 28:16
Home
Bible
Plans
Videos