1
Ezekieli 13:3
Neno: Bibilia Takatifu
Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Ole wao manabii wapumbavu wafuatao roho yao wenyewe na wala hawajaona chochote!
Compare
Explore Ezekieli 13:3
2
Ezekieli 13:6
Maono yao ni ya uongo na ubashiri wao ni wa udanganyifu. Wao husema, “BWANA amesema,” wakati BWANA hakuwatuma, bado wakitarajia maneno yao kutimizwa.
Explore Ezekieli 13:6
Home
Bible
Plans
Videos