1
Kumbukumbu 4:29
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini kama mtamtafuta BWANA Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wenu wote na kwa roho yote.
Compare
Explore Kumbukumbu 4:29
2
Kumbukumbu 4:31
Kwa maana BWANA Mungu wenu ni Mungu mwenye huruma, hatawaacha au kuwaangamiza wala kusahau Agano alilofanya na baba zenu, alilowathibitishia kwa kiapo.
Explore Kumbukumbu 4:31
3
Kumbukumbu 4:24
Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Explore Kumbukumbu 4:24
4
Kumbukumbu 4:9
Mwe waangalifu, na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke moyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.
Explore Kumbukumbu 4:9
5
Kumbukumbu 4:39
Kubalini na mweke moyoni leo kuwa BWANA ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
Explore Kumbukumbu 4:39
6
Kumbukumbu 4:7
Ni taifa gani jingine lililo kubwa kiasi cha kuwa na miungu yao iliyo karibu nao kama BWANA Mungu wetu alivyo karibu nasi wakati wowote tunapomwomba?
Explore Kumbukumbu 4:7
7
Kumbukumbu 4:30
Wakati mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia BWANA Mungu wenu na kumtii.
Explore Kumbukumbu 4:30
8
Kumbukumbu 4:2
Usiongeze wala usipunguze chochote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo ya BWANA Mungu wenu ambayo nawapa.
Explore Kumbukumbu 4:2
Home
Bible
Plans
Videos