1
Kumbukumbu 17:19
Neno: Bibilia Takatifu
Atakuwa na nakala hiyo, naye ataisoma siku zote za maisha yake ili kwamba ajifunze kumheshimu BWANA Mungu wake na kufuata kwa uangalifu maneno yote ya sheria hii na amri hizi
Compare
Explore Kumbukumbu 17:19
2
Kumbukumbu 17:17
Kamwe asioe wake wengi, la sivyo moyo wake utapotoka. Kamwe asijilimbikizie kiasi kikubwa cha fedha na dhahabu.
Explore Kumbukumbu 17:17
3
Kumbukumbu 17:18
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme wake, ajiandikie kwenye kitabu nakala ya sheria kwa ajili yake mwenyewe kutoka zile sheria za makuhani ambao ni Walawi.
Explore Kumbukumbu 17:18
Home
Bible
Plans
Videos