1
1 Samweli 12:24
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini hakikisheni mnamcha BWANA na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu.
Compare
Explore 1 Samweli 12:24
2
1 Samweli 12:22
Kwa ajili ya jina lake kuu BWANA hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza BWANA kuwafanya kuwa wake mwenyewe.
Explore 1 Samweli 12:22
3
1 Samweli 12:20
Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa moyo wenu wote.
Explore 1 Samweli 12:20
4
1 Samweli 12:21
Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Explore 1 Samweli 12:21
Home
Bible
Plans
Videos