1
Mwanzo 11:6-7
Neno: Maandiko Matakatifu
BWANA akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”
Сравни
Разгледайте Mwanzo 11:6-7
2
Mwanzo 11:4
Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina tusije tukatawanyika usoni pa dunia yote.”
Разгледайте Mwanzo 11:4
3
Mwanzo 11:9
Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo BWANA alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo BWANA akawatawanya katika uso wa dunia yote.
Разгледайте Mwanzo 11:9
4
Mwanzo 11:1
Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja.
Разгледайте Mwanzo 11:1
5
Mwanzo 11:5
Lakini BWANA akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga.
Разгледайте Mwanzo 11:5
6
Mwanzo 11:8
Hivyo BWANA akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji.
Разгледайте Mwanzo 11:8
Начало
Библия
Планове
Видеа