1
Mwanzo 41:16
Swahili Revised Union Version
Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
قارن
اكتشف Mwanzo 41:16
2
Mwanzo 41:38
Farao akawaambia watumishi wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye Roho ya Mungu ndani yake?
اكتشف Mwanzo 41:38
3
Mwanzo 41:39-40
Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa msimamizi wa nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.
اكتشف Mwanzo 41:39-40
4
Mwanzo 41:52
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
اكتشف Mwanzo 41:52
5
Mwanzo 41:51
Yusufu akamwita jina lake yule aliyezaliwa kwanza, Manase, maana alisema, Mungu amenisahaulisha taabu zangu zote, na nyumba yote ya baba yangu.
اكتشف Mwanzo 41:51
الصفحة الرئيسية
الكتاب المقدس
خطط
فيديو