Bible Versions

Neno: Maandiko Matakatifu 2024

Swahili

Neno: Maandiko Matakatifu iliyosahihishwa ni jibu kwa ombi la wasomaji wa leo wa Maandiko Matakatifu kwa Kiswahili. Nakala hii imedumisha uaminifu kamili kwa lugha za kwanza ambazo Maandiko Matakatifu yaliandikwa kwazo. Nakala hii inapeana ukweli wa lugha za asili za Kiaramu, Kiebrania na Kiyunani, ili kuwapa wasomaji wa leo ujumbe uliokusudiwa na waandishi wa kwanza, kwa lugha yao ya asili. Nuru inayoongoza wahariri ni Neno la Mwenyezi Mungu, yaani Isa Al-Masihi, aliyezaliwa kama mwanadamu na kuishi nasi. Akiwa katika mwili huo, Neno aliweza kunena na Wayahudi vile anavyozungumza nasi leo katika lugha ya Kiswahili. Maandiko Matakatifu ya NENO inahakikisha kwamba uasili uliokusudiwa mwanzoni unafikia msomaji wa leo. Kusudi ni kwamba imani ya msomaji itaimarishwa, na Neno hili litadumu ndani yake.

This revised NENO Kiswahili Contemporary Scriptures is the long-awaited answer to contemporary Kiswahili readers of the Bible. This Revision has maintained utmost faithfulness to the original biblical languages. It relays the biblical truth in the words originally written in Aramaic, Hebrew and Greek, to bear the same meaning with clarity to Kiswahili speakers in their heart language. The guiding ray is that the Word became flesh and dwelt with us. In that very flesh, the Word was able to speak naturally with the Jews, just as he does with us in Kiswahili. NENO Kiswahili Contemporary Scriptures exists to ensure that the intended naturality will take first place with the readers. The aim is that the reader’s faith will be strengthened and that this word will dwell in them.

Kuhusu Biblica

Biblica, The International Bible Society, inawapa watu Maandiko ya Mwenyezi Mungu kupitia kutafsiri na kuchapisha Maandiko, na mipango ya kushirikisha watu kusoma Maandiko katika Afrika, Asia ya Pasifiki, Ulaya, Amerika Kusini, Mashariki ya Kati, Amerika Kaskazini, na Asia ya Kusini. Kupitia mpango wake wa kufikia dunia nzima, Biblica inahusisha watu na Maandiko ya Mwenyezi Mungu ili maisha yao yapate kubadilishwa kupitia uhusiano wao na Isa Al-Masihi.


Biblica, Inc.

NENO PUBLISHER

Бештар омӯзед

Other Versions by Biblica, Inc.